Kikwete apata tuzo Marekani
Source:JamiiForums
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akipokea Tuzo ya Uongozi wa Kisiasa na Utetezi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa#SpeakUpAfrika Kate Campana, katika hafla iliyofanyika siku ya Alhamis New York Marekani.
Tuzo hiyo ni kutambua jitihada na juhudi zake za kufikisha huduma za jamii hususani afya kwa wanawake na watoto.